Thursday, January 31, 2013

Lyrics-Eazzy B's Verse In Take It Down

Uh!
Full Rash Till My Toe Toe
Its All Good,If We Crash We Can Tow Tow
Who Dat,Its Eazzy B
Work Hard,Tru Dat Hizi Bidii
But,Tonight Tutaparty Ka Ni
Usishangae Tukiwa Hatupatikani
C Tuko Here,Nyie Mko Wapi Kwani?
They Say Tuko Weird,But Si Ni Watu Flani,Peace!
Pair ZIna Pass Kama Poa
C Unajua Zetu,Hatuna Glass Tunapour
Kuwa Mbahili Is In The Past Ukiwa Na Cash Una Toa
Tusafiri Kwenye Bus,Tukiona Tax Inaboa
Tunakwenda Viwanja,Kijanja,Tuna Mkwanja
We Njoo Ukute Habari Ya Town
Coz Leo Today,We Take It Down

No comments:

Post a Comment